Burundi yanufaika na ushirikiano wake na China katika sekta ya kilimo
2021-11-26 14:55:14| CRI

Burundi yanufaika na ushirikiano wake na China katika sekta ya kilimo_fororder_timg (2)

Kipindi cha Daraja kinachokujia kutoka Idhaa ya Kiswahili ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) kinakufahamisha mambo mbalimbali kuhusu uhusiano, ushirikiano na mawasiliano kati ya China na Afrika. Katika kipindi cha leo, licha ya habari za wiki hii zilizohusisha China pamoja na nchi za Afrika, tutakuwa na ripoti kuhusu jinsi Burundi inavyonufaika na ushirikiano wake na China katika sekta ya kilimo, lakini pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi yatakayohusu tamasha la mawasiliano ya tamaduni kati ya China na Kenya.