Marais wa China na Laos kushuhudia kuanza safari ya reli kati ya nchi hizo
2021-12-01 18:59:00| Cri

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Hua Chunying amesema rais Xi Jinping wa China na mwenzake wa Laos Thongloun Sisoulith watazungumza kwa njia ya video na kushuhudia pamoja kuanza kwa safari ya Reli kati ya China na Laos.