Rais wa China ahutubia mkutano wa FOCAC
2021-12-03 09:39:10| cri

图片默认标题_fororder_1128113735_16382045757421n

Kipindi cha Daraja kinachokujia kutoka Idhaa ya Kiswahili ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) kinakufahamisha mambo mbalimbali kuhusu uhusiano, ushirikiano na mawasiliano kati ya China na Afrika. Katika kipindi cha leo, tutazungumzia mkutano wa 8 wa mawaziri wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika, haswa hotuba iliyotolewa na rais Xi Jinping wa China kwenye ufunguzi wa mkutano huo.