Magari na pikipiki za betri zilizotengenezwa China zapata umaarufu nchini Ghana
2021-12-09 10:20:28| CRI

图片默认标题_fororder_RIPOTI-Magari ya umeme ya China (4)

图片默认标题_fororder_RIPOTI-Magari ya umeme ya China (2)

Karibu tena msikilizaji katika kipindi hiki cha Daraja kinachokujia kila jumapili muda kama huu kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Kipindi cha leo kitakuwa na ripoti itakayohusu magari na pikipiki za betri zilizotengenezwa China zapata umaarufu nchini Ghana, na pia tutakuwa na mahojiano kati ya Tom Wanjala wa CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi na Mkurugenzi wa Taasisi ya Sera za Afrika (API) Profesa Peter Kagwanja kuhusu ripoti ya tathmini ya miradi inayotekelezwa chini ya Pendekezo la Ukanda Mmoja na Njia Moja.