Marubani wanawake waliofanikiwa kuingia katika sekta ya usafari wa anga
2021-12-10 09:20:05| CRI

Tarehe 7 Desemba ya kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga. Ni asilimia 4.4 tu ya marubani ni wanawake, na hii inaonyesha ukosefu mkubwa wa uwiano katika sekta hii. Katika kipindi cha leo tutazungumzia zaidi marubani, hususan marubani wanawake waliofanikiwa kuingia katika sekta hiyo ambayo awali ilitawaliwa na wanaume.