Msemo huo una maana kuwa mtu anayejihudumia yeye tu bila kujali wengine basi mwisho hukimbiwa na wengine; lakini anayejizuia maslahi yake binafsi na kumhudumia mwengine, watu wanampenda. Kwenye Kiswahili kuna sentensi moja maarufu isemayo “ukisaidia watu ipo siku nao watakusaidia”.