Kosa lionekanalo kileleni mwa mti, chanzo chake ni mizizi
2021-12-17 10:01:21|
CRI
Msemo huo unatumiwa kuwaambia watu kuwa ukitaka kurekebisha kosa lionekanalo kwenye kitu, kwanza angalia chanzo chake. Waswahili pia wanasema “kila tatizo lina chanzo chake”, hivyo si busara kukurupuka kusahihisha juu tu.