Mkutano wa kujumuisha mafunzo ya historia ya CPC wafanyika
2021-12-25 15:15:41| cri

Mkutano wa kujumuisha mafunzo ya historia ya CPC wafanyika_fororder_图片1

Huu ni mwaka wa 100 tangu kuanzishwa kwa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC). Mkutano wa kujumuisha mafunzo ya historia ya CPC jana umefanyika mjini Beijing.

Rais Xi Jinping wa China hivi karibuni amesisitiza kuwa kutoa mafunzo kuhusu historia ya CPC kwa wanachama wote wa Chama hicho ni uamuzi muhimu wa kimkakati, na mafunzo hayo yaliyotolewa katika mwaka uliopita kwa wanachama wa CPC na maofisa wa ngazi mbalimbali yameongeza nguvu yao.