Rais Xi Jinping wa China kutoa salamu za mwaka mpya wa 2022
2021-12-30 14:51:12| cri

Rais Xi Jinping wa China kesho Oktoba 31 saa moja jioni kwa saa za Beijing kupitia Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) na mtandao wa Internet atatoa salamu za mwaka mpya wa 2022. Chaneli mbalimbali za CMG, zikiwemo za lugha ya kichina na lugha za kigeni, pamoja na tovuti na majukwaa ya Gazeti la Renminribao, Shirika la habari la Xinhua, na vyombo vingine vikuu vya habari vya serikali ya China vitatangaza hotuba hiyo moja kwa moja.