China yatoa waraka rasmi kuhusu vijana wake katika zama mpya
2022-04-21 10:48:45| CRI

Ofisi ya Habari ya Baraza la Serikali ya China leo imechapisha waraka rasmi unaoitwa “Vijana wa China katika Zama Mpya.”

Waraka hio ni wa kwanza wa aina yake unaowalenga vijana nchini China, na umerekodi mafanikio ya maendeleo ya vijana nchini humo katika zama mpya, na kutafakari moyo wa vijana.