Hakuna kitu kigumu wakati bidii ipo
2022-05-02 10:34:39| CRI

Huu ni msemo uliosemwa na Qian Decang kutoka enzi ya Qing, ambao ulinukuliwa na rais Xi Jinping akihimiza watu kufanya bidii. Waswahili wanafananisha bidii na mchwa wakisema “fanya bidii kama mchwa”.