Watafiti wa China wamefanikiwa kuweka kituo cha uchunguzi wa wa hali ya hewa katika mlima Chomolongma
2022-05-06 10:22:25| CRI

Watafiti wa China wamefanikiwa kuweka kituo cha uchunguzi wa wa hali ya hewa katika mlima Chomolongma mwenye urefu zaidi ya mita 8800 kutoka usawa wa bahari tarehe 4 Mei. Hiki ni kituo chenye urefu wa juu zaidi duniani.