Msomi wa Nigeria: kuibuka kwa China chini ya uongozi wa CPC ni fursa kwa Afrika
2022-05-12 10:29:08| CRI

Habari za wakati huu msikilizaji na karibu sana kwenye kipindi hiki cha Daraja kinachokujia kila jumapili muda kama huu kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Katika kipindi cha leo msikilizaji tutakuwa na habari mbalimbali kuhusu China na nchi za Afrika, lakini pia tutakuwa na ripoti inayohusu kuibuka kwa China chini ya uongozi wa CPC ni fursa kwa Afrika, kama anavyoona msomi kutoka nchini Nigeria. Vilevile tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi.