China na Afrika zaimarisha ushirikiano katika sekta ya anga ya juu
2022-05-19 14:46:42| CRI

Kipindi cha Daraja kinachokujia kutoka Idhaa ya Kiswahili ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) kinakufahamisha mambo mbalimbali kuhusu uhusiano, ushirikiano na mawasiliano kati ya China na Afrika. Katika kipindi cha leo, licha ya habari za wiki hii zilizohusisha China pamoja na nchi za Afrika, tutakuwa na ripoti kuhusu China na Afrika kuimarisha ushirikiano katika sekta ya anga ya juu, pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi kuhusu uzinduzi wa Nairobi Express Way.