Ukidhamiria kuwa mtakatifu, unaweza kuwa mtakatifu
2022-05-30 11:24:47| CRI
“Ukidhamiria kuwa mtakatifu, unaweza kuwa mtakatifu”, msemo unaohamasisha watu kufanya juu chini kujiendeleza na kuchangia maendeleo ya nchi. Waswahili wanasema “penye nia pana njia”.