Vijana fanyeni kazi kwa bidii maishani, msiwe wavivu wa kupoteza muda
2022-06-07 15:31:00| CRI

Huu ni mstari wa shairi lililotungwa na Du Xunhe wa enzi ya Tang likinukuliwa na rais Xi Jinping kwa lengo la kuwahimiza vijana wa kizazi kipya kujitahidi na kuthamini muda.