“Kizazi kipya daima kinakipiku cha zamani” wa Liu Fu wa enzi ya Song na “Vijana wakiwa na nguvu na nchi itakuwa na nguvu” wa Liang Qichao, ni miongoni mwa misemo mitano iliyonukuliwa na rais Xi Jinping katika maadhimisho ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa Umoja wa Vijana wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC.