Mpe mtu mkaa katika hali ya hewa ya theluji
2022-06-07 15:25:36| CRI

Hii ni nahau ya kale inayohimiza umuhimu wa kuwapa watu msaada pale wanapokuwa na uhitaji. Nahau hii haipishani sana na msemo wa Kiswahili usemao “Akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki”.