Mawaziri wa Mauritius: Mauritius itaendeleza ushirikiano wenye mtazamo wa mbali na China
2022-06-09 14:32:08| CRI

Ni wakati mwingine tena msikilizaji tunapokutana katika kipindi hiki cha Daraja kinachokujia kila jumapili muda kama huu kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Mbali na habari mbalimbali tulizokuandalia kwa ajili ya kipindi cha leo, tutakuwa na ripoti itayohusu Mauritius kuendeleza ushirikiano wenye mtazamo wa mbali na China, na pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi ambayo itahusu maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Watoto, na jinsi watoto wa Kenya na China walivyoadhimisha siku hiyo.