Rais wa Zanzibar apongeza uungaji mkono endelevu wa China kwa sekta ya afya Zanzibar
2022-06-16 09:58:51| CRI

Natumaini kwa kiashiria hicho unatambua kuwa kipindi chako ukipendacho cha Daraja ndio kiko hewani hivi sasa kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Mbali na habari mbalimbali za ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika, ripoti yetu ya leo itahusu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi kupongeza juhudi zinazoendelea kuchukuliwa na serikali ya China kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta ya afya, na pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi.