Rais Xi atoa wito kwa nchi za BRICS kuleta nguvu chanya, utulivu na kuijenga dunia
2022-06-23 21:03:08| cri

Rais  Xi Jinping wa China amezitaka nchi za BRICS kuleta nguvu chanya, yenye utulivu na yenye kuijenga duniani katika hali ngumu na yenye changamoto.

Rais Xi amesema hayo wakati akiendeshai wa Mkutano wa 14 wa Wakuu wa nchi za BRICS uliofanyika leo kwa njia ya video mjini Beijing.