Rais Xi Jinping awa mwenyeji wa mkutano wa ngazi ya Juu kuhusu Maendeleo ya dunia
2022-06-24 20:53:07| cri

 Rais Xi Jinping wa China leo amekuwa mwenyeji wa mkutano wa ngazi ya Juu wa madala kuhusu maendeleo ya Dunia, ambayo yameanza leo Ijumaa chinu ya kauli mbiu ya "Kuhimiza Ushirikiano wa Maendeleo ya dunia kwa ajili ya zam mpya, ili kutekeleza kwa pamoja ajenda ya mwaka 2030 ya maendeleo dndelevu." Viongozi wa nchi zs BRICS na viongozi wa masoko yanayoibukia na nchi zinazoendelea wanahudhuria mjadala huo.