Kipande kimoja cha kuni hakifanyi moto kuwa mwingi, na fimbo moja haijengi uzio
2022-06-27 15:26:43| CRI
Huu ni msemo ulionukuliwa na rais Xi Jinping kwenye moja ya hotuba zake, akisisitiza umoja na mshikamano, ambao unafanana na wa waswahili “Kidole kimoja hakivunji chawa”.