Watu 51 wauawa katika ghasia ya gereza nchini Colombia
2022-06-29 08:44:51| cri

Watu 51 wameuawa na wengine 30 kujeruhiwa jana katika ghasia zilizotokea kwenye gereza moja mjini Tulua, kusini magharibi mwa Colombia.

Habari zinasema, moto mkubwa uliosababishwa na ghasia hizo umezimwa, na hali ya gereza hilo imedhibitiwa.