Xi Jinping atoa hotuba katika kituo cha Kowloon magharibi cha reli ya kasi huko Hong Kong
2022-06-30 15:50:00| cri

Rais Xi Jinping wa China leo mchana amewasili Hong Kong na kutoa hotuba katika hafla ya kumkaribisha iliyofanyika kwenye kituo cha Kowloon magharibi cha reli ya kasi.