Wakulima wa mji wa Xiangyang waangalia uwezekano wa kufanya shughuli zisizo na ukomo kwa kutumia uzoefu wa jadi na teknolojia ya kisasa.
2022-07-06 09:38:37| cri

Xiangyang, iliyoko katikati mwa China, ina hali ya hewa ya mvua na sura ya ardhi yenye utatanishi, hali ambazo kwa pamoja zinafanya eneo la Xiangyang kufaa kwa shughuli za kilimo. Wakulima wa Xiangyang pia wanaangalia uwezekano wa kufanya shughuli zisizo na ukomo kwa kutumia uzoefu wa jadi na teknolojia ya kisasa.