Umuhimu wa kutenga maeneo salama kwa michezo ya watoto
2022-07-08 14:48:25| CRI

Katika miaka ya hivi karibuni, China imeimarisha mifumo ya usalama wa kijamii na kuboresha afya ya watoto, ikiwemo kutenga maeneo maalum kwa michezo ya watoto katika sehemu za makazi ya watu, na leo hii tutaangalia umuhimu wa kutenga maeneo salama kwa michezo ya watoto.