Msingi wa taifa ni wananchi kisha madaraka yaamuliwe kwa ajili ya wananchi
2022-07-11 10:44:20| CRI

Msemo huu unatokana na mwanafalsafa maarufu wa Confucious wa China, Meng Zi, ambao umenukuliwa na rais Xi Jinping kwenye moja ya hotuba zake.