Msomi wa Nigeria: China yatoa mchango muhimu katika kuhimiza ushirikiano wa BRICS
2022-07-14 10:23:40| CRI

Ni furaha ilioje kuwa nawe tena msikilizaji katika kipindi hiki cha Daraja kinachokujia kila jumapili muda kama huu kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Ripoti yetu ya leo itahusu mchango wa China katika kuhimiza ushirikiano wa BRICS. Pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi yanayozungumzia mchango wa China katika sekta ya afya nchini Kenya.