Ukifanya bidii, kamwe hutakosa
2022-07-18 15:46:24| CRI

Huu ni mmoja wa misemo ya jadi ambayo inaonesha uzoefu wa rais Xi Jinping jinsi alivyofanya kazi kwa ufanisi na kutoogopa taabu zilizokita mizizi kwenye jamii alipofanya kazi wilayani Zhengding, mkoani Hebei kuanzia mwezi Machi mwaka 1982 hadi mwezi Oktoba Mei mwaka 1985.