“Maharagwe ya China” yaleta “lishe borakubwa” Tanzania
2022-07-21 11:17:04| CRI

U hali gani msikilizaji na karibu tena kwenye kipindi cha Daraja kinachokujia kila jumapili muda kama huu kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.Miongoni mwa mambo tuliyokuandalia katika kipindi cha leo ni pamoja na habari mbalimbali kuhusu China na nchi za Afrika, pia tutakuwa na ripoti inayohusu maharage ya China kuleta lishe bora nchini Tanzania, lakini pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi yatayozungumzia wanafunzi nchini Kenya kuvutiwa na wanaanga wa China.