China yapinga kithabiti spika wa baraza la chini la bunge la Marekani kufanya ziara mkoani Taiwan
2022-07-22 08:33:20| CRI

Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Wang Wenbin amesema spika wa baraza la chini la bunge la Marekani Bi Nancy Pelosi akishikilia kufanya ziara mkoani Taiwan, China itachukua hatua kithabiti dhidi ya jambo hili.