Mtawala akiungwa mkono na watu wake, ataepuka kupoteza himaya yake
2022-07-25 15:39:29| CRI
Huu ni mmoja wa misemo ya jadi ambayo inaonesha uzoefu wa rais Xi Jinping wa uongozi bora tangu ashike nafasi za viongozi wa chama na serikali mkoani Fujian kuanzia mwezi Juni mwaka 1985 hadi mwezi Oktoba mwaka 2002.