Huu ni mmoja wa misemo ya jadi ambayo inaonesha uzoefu wa rais Xi Jinping namna anavyoweka mipango mbalimbali ya kutunza mazingira aliposhika nafasi za viongozi wa chama na serikali mkoani Zhejiang kuanzia mwezi Oktoba mwaka 2002 hadi mwezi Machi mwaka 2007.