Lengo lisipowekwa, hakuna la kutimizwa
2022-08-08 20:02:34| CRI

Huu ni mmoja wa misemo ya jadi ambayo inaonesha uzoefu wa rais Xi Jinping namna alivyoendeleza mageuzi na ufunguaji mlango akiwa katibu mkuu wa chama mjini Shanghai kuanzia mwezi Machi hadi mwezi Oktoba mwaka 2007.