Anayejua paa linavuja, ni yule aliye chini ya paa; na anayejua dosari za mahakama ni yule asiye madarakani
2022-08-15 16:11:26| CRI
Huu ni msemo ulionukuliwa na rais Xi Jinping kwenye kitabu cha Utawala wa China sehemu ya pili akikumbusha maafisa wa ngazi mbalimbali kuwa karibu na watu wanaowaongoza, na kusikiliza maoni na malalamiko yao kwenye majukwaa ya mitandao ya internet.