Wasomi wa Afrika: Safari ya Nancy Pelosi kisiwani Taiwan ni uchokozi mtupu dhidi ya China
2022-08-18 09:59:45| CRI

Ni wakati mwingine tena tunapokutana katika kipindi hiki cha DARAJA kinachokujia kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Kipindi hiki cha Daraja kinakuletea mambo mbalimbali yanayohusiana na China na nchi za Afrika, na ushirikiano wa pande hizo mbili katika sekta mbalimbali, iwe uchumi, biashara, kilimo, ujenzi wa miundombinu na kadhalika. Tutakuwa na ripoti inayohusu jumuiya ya kimataifa kupinga ziara ya Spika wa Baraza la Wawakilishi la Bunge la Marekani Nancy Pelosi kisiwani Taiwan, pamoja na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi.