Ni pale tu ghala litakapojaa ndio watu watajifunza adabu; na ni pale tu watu watakaposhiba na kuvaa vizuri ndipo watakapojua heshima na aibu
2022-08-22 10:08:09| CRI
Huu ni msemo wa kale wa Kichina ulionukuliwa na rais Xi Jinping wakati alipokuwa akihutubia kwenye Mazungumzo ya Ngazi ya Juu yanayohusu Maendeleo Duniani yaliyofanyika Ijumaa ya terehe 24 Juni.