Ni bora kuwa na jirani wa karibu kuliko ndugu wa mbali
2022-08-29 14:39:48| CRI

Huu ni msemo unaosisitiza ujirani mwema baina ya mtu na mtu ama nchi na nchi kwani jirani ndio wa kwanza kukusaidia unapofikwa na tatizo, kwani ikumbukwe kuwa “Fimbo ya mbali haiui nyoka”.