Doudou na Mama Wakwe zake
2022-09-02 14:52:39| cri

Doudou na Mama Wakwe zake 

Ni hadithi inayofahamisha maisha ya kawaida ya wachina.  Msichana Doudou aliolewa na kijana Yu Wei, ambaye ndoa ya wazazi wake ilivunjika, na kila mmoja akafunga ndoa tena, kwa hivyo kijana Yu Wei ana baba wawili na mama wawili, basi mkewe Doudou anapaswa kuishi na mama wakwe zake wawili, ambao wanazozana kila mara kutokana na uhusiano kati yao kama paka na chui.