Ujio wa maparachichi kutoka Kenya kwenye soko la China waakisi msukumo mpya wa ushirikiano kati ya China na Afrika
2022-09-08 10:10:29| CRI

Ni wakati mwingine tena tunapokutana katika kipindi hiki cha DARAJA kinachokujia kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

katika kipindi cha leo tutakuwa na ripoti inayohusu ujio wa maparachichi kutoka Kenya kwenye soko la China waakisi msukumo mpya wa ushirikiano kati ya China na Afrika, lakini pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi yanayozungumzia manufaa kwa wakulima wa Kenya kutokana na parachichi za Kenya kuingia kwenye soko la China.