Watu wenye nia moja hawaoni wako mbali wakitenganishwa na milima na bahari
2022-09-13 13:36:30| CRI
Huu ni msemo alionukuu rais Xi Jiping wakati aliposhiriki ufunguzi wa Mkutano wa 8 FOCAC akionesha kwamba umbali hauzuii watu kushirikiana na kusaidiana.