Rais Xi Jinping wa China apokea nishani ya “Urafiki wa Juu” kutoka rais wa Uzbekistan
2022-09-15 20:21:45| cri

Rais Xi Jinping wa China leo katika Kituo cha Mikutano cha kimataifa cha Samarkand amepokea nishani ya "Urafiki wa Juu" kutoka kwa rais Shavkat Mirziyoyev wa Uzbekistan.