Nchi kubwa ina majukumu yake makubwa. Mambo ya taifa kimsingi ni mambo ya kila familia.
2022-09-20 15:18:29| CRI

Hii ni nukuu aliyoisema rais Xi Jinping wa China akionesha umuhimu wa familia na upendo wake kwa wananchi kama kiongozi wa taifa.