Riwaya ya Kusadikika
2022-09-30 15:05:49| cri

imeandikwa na nguli Shaaban Robert na kuchapishwa na mkuki wa nyota publishers. Kwenye Riwaya hii, kusadikika ni nchi ambayo wanawake wote wanajifungua mapacha, hilo linastaajabisha lakini bado halijagusa ndotoza wazee. Kwa juu nchi imepakana na mbingu na kwa chini imepakana na ardhi.