Riwaya ya Dunia mti mkavu
2022-09-30 15:07:11| cri

Kwenye Riwaya ya Dunia mti mkavu, Udhalimu wa mkoloni uliwalemea vibaya wananchi, ukawatia woga mwingi na unyonge……Unyonge uliomfanya Jaku Shonge kuwatupa wanawe na Makame kumwuza bintiye na kuwa msaliti.