"Uzoefu wa China" Wahimiza Ubunifu wa Kidijitali wa Vijana wa Kiafrika
2022-10-12 14:36:26| CRI

Karibu tena msikilizaji katika kipindi hiki cha Daraja kinachokujia kila jumapili muda kama huu kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Katika kipindi cha leo msikilizaji tutakuwa na ripoti itakayohusu uzoefu wa China unavyohimiza ubunifu wa kidijitali wa vijana wa Afrika, pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idha ya Kiswahili Nairobi kuhusu ushirikiano wa kilimo kati ya serikali ya China na Chuo Kikuu cha Egerton nchini Kenya.