Utiifu na utunzaji kwa wazazi ni msingi wa maadili yote
2022-10-13 16:08:55| CRI
Hii ni sentensi inatokana na Kitabu cha Utiifu na Utunzaji ambacho ni moja ya ya vitabu 13 vya falsafa ya Confucious, na kina umuhimu mkubwa katika utamaduni wa jadi wa Kichina.