Taarifa ya Kikao cha 7 cha wajumbe wote cha kamati kuu ya awamu ya 19 ya chama cha Kimomunisiti cha China yatolewa
2022-10-14 08:34:04| cri

Kikao cha 7 cha wajumbe wote cha kamati kuu ya awamu ya 19 ya chama cha Kimomunisiti cha China CPC kilifanyika kuanzia Oktoba 9 hadi 12 hapa Beijing.

Kikao hicho kimeamua kuwa mkutano wa 20 wa wajumbe wa taifa wa chama cha CPC utafanyika Oktoba 16 hapa Beijing. Kikao hicho kinasikiliza na kujadili kuhusu ripoti ya kazi iliyotolewa na Rais Xi Jinping akiwakilisha ofisi ya kisiasa ya kamati kuu ya chama.