Ripoti ya Mkutano Mkuu wa 20 wa wajumbe wote wa CPC imekusanya maoni ya watu zaidi ya 4,700
2022-10-15 19:11:09| CRI

Msemaji wa Mkutano Mkuu wa 20 wa wajumbe wote wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Sun Yeli amesema ripoti itakayotolewa kwenye mkutano huo imekusanya maoni ya watu zaidi ya 4,700.